UKUNE HOI
Na.obert funga.
Kahama.
2/03/2015.
UKUNE BILA HUDUMA
Waakazi wa kata ya ukune
iliopo katika halmashauri ya ushetu
wilayani kahama mkoani shinyanga,wameitaka taasisi ya mkapa foundation
kusitisha shughuli zao katika kata hiyo kutokana na kuutoona faida ya taasisi
hiyo iliofanyika mwaka 2014.
Wakizungumza kwa nyakati
tofauti katika kata hiyo Bi,Zuhura James
alisema taasisi ya mkapa foundation ilikuja ukune pamoja na idara ya afya kwa
ajiri ya harambee ya uzinduzi wa vyumba vya upasuaji na damu salama katika
kituo cha afya chenye kusuasua.
Taasisi hiyo inayojishughulisha na masuala ya
afya tumekuwa tukisumbuka kwa hali ya malipo ya afya tulijua harambee
iliokuwepo itatusaidia wana ukune kumbe iliofanya harambee ya Tshs milioni 5
zilizochangwa mwaka 2013/2014 ilikuwa change la macho.alisema
Naye bw,Hamisi Kujakumbhi alisema
matumizi ya fedha zile za harambee pamoja na fedha za mfuko wa jimbo na mchango
wa mbunge wa jimbo bw,James lembeli alitutangazia mchango wake kwa kata ya
ukune yalitakiwa tutambue wananchi wa ukune yapo wapi.?
‘’’kaimu mganga mkuu wa
wilaya ya kahama bw,Dr john nduttu alisema harambee ya ukune iligharimu mipango kazi kwa Tshs milioni 507 ikiwa na
mikakati ya idara ya afya,wizara na taasisi ya mkapa foundation ili ifikapo
mwezi juni 2015 tuwe tumekamilisha.
Hata hivyo Dr nduttu alisema Kituo cha afya
cha ukune kweli harambee ilifanyika ya kuchangia vyumba vya upasuaji ambapo
taasisi ya mkapa foundation,mfuko wa jimbo,wananchi walisaidia kuiweka pahala
pa kuweza kupata huduma ya afya ilio bora’’’’alisema Dr,nduttu
Diwani wa kata ya Ukune sayi
gamaya alisema natambua uongozi wa
halmashauri ya ushetu akiwemo kaimu mganga mkuu na mbunge wa jimbo la kahama
kwa harambee ile kata yangu haijatendewa haki wakati taasisi ya mkapa
foundation ilifika kwa uondoa usumbufu.
‘’’Kata ya ukune wananchi
wanaona diwani ndiyo kala fedha zilizochangwa,wauguzi na manesi nao kama wa
kukopwa kaimu mganga mkuu anadai fedha zilikuwa kidogo mipango haikufanyika kwa
wakati ila kwa sasa tusubiri utaratibu na matunda ya michango’’’’,
Aidha diwani Gamaya
aliongeza ya kuwa taasisi hiyo ilitoa maelezo ya kuwa fedha hizo
zilizizochangwa na halmashauri kunakurejeshwa kwa matumizi ya kuboresha huduma
ya afya lakini imekuwa siasa ya uongozi wa halmashauri na taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa halmashauri ya
ushetu Bi,Isabela chilumba alivyoulizwa kuhusiana na suala la harambee ya kata
ya Ukune kwa kudorola katika kituo cha afya cha Ukune alisema siyajui ya ukune
maana sikuwepo katika harambee hiyo.
………………..MWISHO………………
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni