Inadaiwa kuwa gari hiyo imetumbukia katika mto wa Kiwira,wilayani Rungwe mkoani Mbeya.


Hiace ikiwa mtoni

Hiace ikiwa mtoni
Mpaka
sasa Miili ya watu 22 imefanikiwa kutolewa kwani Hiace ilitumbukia
mtoni ambapo miili mingine imenaswa na juhudi za kuitoa
inafanyika.Katika jali hiyo inasemekana watu wawili tu ndiyo wamepona
akiwemo kondakta.

Hiace ikiwa mtoni
Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni