Jumapili, 5 Aprili 2015

FURAHA YA WAZEE KAHAMA YA KUONDOKA OCS WASUBIRI OCD



Obert funga.
Kahama.
5/4/2015.                                     Wajibu wa polisi
Jeshi la polisi wilayani kahama mkoani hapa linadaiwa kabiliana na changamoto za utendaji hafifu katika wajibu wa kipolisi na kuwa na wakuu wa polisi wilaya’OCD’wakuu wa vituo’OCS’ wasiofuata matendo ya kazi yao na kuchangia kiwango kikubwa cha kuhamishwa.
Hayo yalisemwa jana na umoja wa wazee wilaya ya kahama UWAKA ofisini hapo wakati wa tathimini ya mchango wa jeshi la polisi kupitia kwa OCD,OCS katika ushirikiano wa mambo ya kijamii na kuwa pamoja kwenye vikao,mikutano,jitihada za kamati za ulinzi na usalama.
Katibu wa uwaka wilaya ya kahama Bw,Paul Nkwabi Ntelya alisema tumekuwa na vikao vingi vya kuwaarika waje kwenye vikao lakini hawafiki hata kutuma mwakirishi hakuna pia sio mara moja kuna mambo yanatokea kwetu kama uwaka yanayohusu jeshi la polisi na wananchi wa kahama tukiwa nala kuisemea jeshi hilo linakuwa kimya bila kufika eneo husika.
‘’Tunamshukuru IGP Mangu kwa kumhamisha ‘OCS’  Osante Ullomi kwa mambo aliokuwa kafanya hayaendani na wajibu wa ukuu wa Idara aliopewa,tangu hamisha hamisha ya OCD/OCS aliyeijenga kahama kwa maadili ya kumkumbuka vyema OCD ‘P- Malengo’ tunamtazamo wa kitendaji OCD aliyebaki Leonard nyandahu hajamfikia hata aliyekuwa [ocd]2011/14 George Simba’’alisema ntelya.
Tumekuwa na miariko kadhaa ya vikao vyetu tumewaarika jeshi la polisi tumeona hawafiki na hawatumii mshirika yeyote mpaka hivi leo hakuna aliyewahi kufikakwenye vikao vyetu hadi leo hii tuliamua kumwandikia barua ya malalamiko kamanda wa mkoa Justus Kamugisha lakini hakuna majibu ya moja kwa moja ya utendaji mzuri wa OCS na OCS mwenye kujitolea kama wale OCS na OCD wa 2004-2008.
Bw NtelATya alisisitiza ya kuwa licha ya uteuzi wa wakuu wa Idara za jeshi la polisi uendane na ushirikiano na wenyeji uliowakuta utakaofanyanao kazi na wazee wenye ushauri wa kijumla kwa kufuata taratibu za eneo husika na kamati tendaji ya UWAKA endapo jeshi la polisi litaarikwa kwenye vikao,mikutano na sehemu nyingine.
Naye mjumbe wa uwaka kata ya malunga Bw,John Ngassa alisema tunapata taarifa mbaya za jeshi la polisi kwa mienendo ya ukiukwaji wa sheria na taratibu za jeshi la polisi katika kituo cha polisi cha kahama kupiga kupita kiasi,kuua,kutesa,kutishia pia kukataa kuandika maelezo ya mashitaka na kukubambika kesi.
‘’kama unashitaka baadhi ya polisi wenye tamaa ukitaka kutoa maelezo ya kesi unaambiwa kanunue karatasi au unashingapi nikuandikie haraka halafu unaitiwa mgambo nae anataka pesa 20,000 kumkamata mharifu kwa utaratibu wa OCS hata ukienda kulalamika hata kusaidia na wengi tatizo hili hajawasaidia na ndiyo maana tumefurahi kuondoka ‘[OCS’ Osante Ullomi-alisema ngassa.
Bw,ngassa alisema mtiririko wa uteuzi wa jeshi la polisi katika wilaya ya kahama 2008/2011ulikuwa na imani kubwa kwa wananchi na kufanya ushirikiano wa kijamii sehemu zote sio wakuu wa Idara ya kipolisi wa 2012/14 wenye kuandika kumbukumbu mbaya waliobadirishwa zaidi ya 4-5 kwa kasoro mbalimbali.
                                  ………………..MWISHO…………………

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni